Tawi:
Habari za asubuhi! BYKTRADERS iko tayari kukuhudumia leo.
Uzoefu wa Miaka Mingi · Tanzania

BYK Msingi wa Uaminifu, Kilele cha Ubora.

Welding ya ubora wa juu, Aluminium fabrication, Hardware na Ukarabati wa kitaalam.

🛒 Duka la Online iko wazi! Angalia bidhaa zote na bei zake, agiza kupitia WhatsApp.
📱
Install BYKTRADERS kama App!
Fungua haraka · Offline · Kama app ya kawaida
Sogeza chini
501+
Miradi Iliyokamilika
301+
Wateja Wanaoridhika
6+
Miaka ya Uzoefu
24/7
Msaada wa Dharura
OFA PUNGUZO HADI ASILIMIA 20
Agiza mzigo kupitia website upate ofa hadi asilimia 20
piga simu au fika dukani kwetu

Tunaweza Kukusaidia Nini?

Tunajua vizuri mahitaji ya ujenzi na ufundi nchini Tanzania.

Spares

Spea za Magari
Hapa Dodoma — Bei Nafuu

Tunazo spares za pikipiki, bajaji, gari na guta. Hifadhi kubwa, bei za jumla na rejareja. Agiza mtandaoni au uje dukani Mkonze — tutakuandalia haraka.

Pikipiki & Bajaji
Vipuri vya Gari
Brake pads, oil filters, chains
Bei za jumla & rejareja
Uliza bei WhatsApp
🏍️Pikipiki
🛺Bajaji
🚗Gari
🔩Bolts
⚙️Engine
🛞Tyre
🔧Tools
💡Lights
🪛Parts
📦 Hifadhi Kubwa · Utoaji Dodoma
Huduma Maalum

Tunaleta Bidhaa Mlangoni Mwako

Usiwe na wasiwasi wa usafirishaji. Tunaleta bidhaa moja kwa moja kwenye eneo lako la ujenzi.

Haraka & Salama
Bei Rafiki & Shindani
Dodoma na Jirani
Workshop Mkonze
Ubora #1 Mkonze

Tunajua Kazi. Tunapenda Kazi.

Ubora Unaoonekana
Kila kazi inafanywa kwa makini — hatutoi kazi mpaka tumeridhika.
Muda Unatekelezwa
Miradi inakamilika kwa wakati uliokubaliwa.
Bei Rafiki
Quotation wazi na ya kweli. Unajua unalipa nini na kwa nini.
Msaada wa Kudumu
Tunakusaidia hata baada ya kazi kukamilika.

Wanasema Nini Wateja Wetu?

Uzoefu wa wateja wetu ndio uthibitisho mkubwa zaidi wa kazi yetu.

★★★★★
BYK uaminifu sio wa mashaka, kazi kwa muda mzigo mpaka site
L
LLUCAS SUTTO
FUNDI WELDING
★★★★★
uaminifu wa uhakika, mzigo mpaka site BYK wako vizuri sana
E
erick kamze
fundi wleding

Toa Ushuhuda Wako

Tufikirie Leo Hii

Tuko Mkonze, Dodoma. Njoo moja kwa moja au piga simu / WhatsApp.

Mahali
BYK — Msingi wa Uaminifu, Kilele cha Ubora
Masaa ya Kazi
Jumatatu – Jumamosi: 7:00 – 18:00
Utoaji wa Bidhaa
Dodoma na maeneo ya jirani
✨ Omba Huduma yetu
Chagua aina ya huduma, kisha chagua vitu unavyotaka — tutakufikia haraka.

Inapakia bidhaa...
Inapakia...
Tofari zinafyatuliwa hapa Mkonze, Dodoma. Jaza fomu — tutakupigia simu / WhatsApp kuthibitisha bei na tarehe ya uleteaji.
tofari

🛒 Kapu lako (0)
🚚 Nataka kuletewe (Delivery) Bonyeza kuweka eneo
Chagua aina ya gari lako, kisha tafuta spea unayohitaji. Tutawasiliana nawe kuthibitisha hifadhi na bei ya sasa.
Inapakia spea...
📋 Kagua Ombi Lako
Thibitisha kabla ya kutuma
Fanya Quotation — Omba Proforma Invoice
1
Bidhaa
2
Maelezo
3
Imekamilika
Inapakia bidhaa...
Kapu Langu 0
Bado haujachagua bidhaa

Maelezo Yako

Muhtasari wa Kapu

JUMLA: TZS 0
🎉
Proforma Imetengenezwa!

Ombi lako limepokelewa. Nambari yako ya kumbukumbu:

PRF-XXXXX

Pakua PDF yako mara moja au wasiliana nasi kupitia WhatsApp.